DIAMOND AFUNGUKA "WEMA ALISTAHILI KUWA SEXIEST GIRL, KWA SABABU NI KIFAA"

Mastaa  Wema Sepetu na Diamond Wakimechisha.

NASIBUAbdul ‘Diamond’ amefunguka kuwa anajivunia kuwa na binti mzuri Wema Sepetu ambaye kila kukicha anazidi kupewa vyeo.

Diamond alifunguka hayo juzikati baada ya Wema kutangazwa mshindi wa Shindano la Ijumaa Sexiest Girl lililoandaliwa na Gazeti la Ijumaa.“Wema ni kifaa, nilimkubali na nitaendelea kumkubali,” alisema Daimond juzikati Dar.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post