Habari zilizotufikia hivi punde leo CCM imefanyika kura za maoni kati ya wagombea watatu wa ubunge wa jimbo la chalinze kati ya Ramadhani Maneno, Imani Madega na Ridhiwani ambapo
Ridiwani Kikwete ameibuka mshindi kwa kura 758, akifuatiwa na Imani Madega akiwa na kura 335 na Ramadhani Maneno Kura 206 huku Mkwanzu akipata kura 12.
Jumla ya Kura zilikuwa 1321 zilizopigwa Kura 5 ziliharibika Hivyo kufanya Kura halali kubakia 1316...
Tags
HABARI ZA KITAIFA