RAY C AFUNGUKA MARA BAADA YA LORD EYES KUSHIKWA KWA TUHUMA ZA WIZI, SOMA HAPA

clip_image003Baada ya Lord Eyes kukamatwa kwa tuhuma za wizi, msanii wa kizazi kipya aliyekuwa mpenzi wake Ray C afunguka na kumuomba msanii huyo kubadilika, na huu ndio ujumbe aliouandika muda mchache kupitia account yake ya InstagramRAY C 2ray c ushauri

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post