BAADA YA FACEBOOK KUINUNUA WHATSAPP, HILI NDILO ZURI JIPYA, HEBU CHEKI HAPA
byUnknown-
0
Mambo mengine ni rahisi kunena kuliko kuandika.Baada ya Facebook kununua mtandao wa kutuma ujumbe mfupi, Whatsapp kwa bilioni 19 dola za kimarekani, sasa huduma hiyo itaanzisha huduma za kupiga simu baadaye mwaka huu.
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...