DOWNLOAD BRAND NEW AUDIO:: NITASUBIRI BY JUX

clip_image002Kwenye XXL ya Clouds FM March 4 2014 mwimbaji Jux amekubali kwamba hii single yake mpya amemuimbia mpenzi wake ambae ni Jackie Cliff, mrembo wa Kitanzania ambae ilidaiwa amekamatwa nchini China na dawa za kulevya.

Hii ni nafasi yako kuusikiliza na pia unaweza ku-download hapa.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post