OMMY DIMPOZ CHINI YA ULINZI WA POLISI NCHINI UINGEREZA KATIKA MJI WA LONDON..!! TAZAMA PICHA HAPA

clip_image001Hizi ni picha ambazo zimewekwa mtandaoni na msanii Ommy Dimpoz akiwa kakamatwa huko nchini Uingereza, kwa mujibu wa Ommy Dimpoz hizo picha zipo katika Scene ya video yake mpya ambayo soon itakuwa hewani na wewe kama sahabiki wa Ommy Dimpoz basi kaa mkao wa kula kusubiria kazi nzuri kutoka kwake.clip_image001

clip_image001[9]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post