CHEKI KIZAZI CHA SASA NA WAZAZI WA SASA WALIVYO, MTOTO AFUNDISHWA UKANGA MOKO AKIWA MDOGO

clip_image001Camera man wetu amebahatika kuwakuta akidada wakimfindisha mtoto kukatika staili ya khanga moko mitaa ya Makolora huko Tanga na hii hapo juu ndo picha ambaye camera man aliweza kuphotoa kabla hajazuiliwa na madada hayo na kumtaka aondoke kwani anawaharibia siku.

Bahati nzuri imetufikia sasa cha kuuliza kwamba mtoto huyu akikua na akawa na tabia hizo nani atalaumiwa kama sio wao na kwa staili wazazi mnatakiwa kubeba lawama zote za mambo mabaya ya watoto wenu kwani wanasema Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo.

Huyu akikua hataacha tabia zinazofanana na huyu mdada hapa chini. clip_image001[5]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post