MVUA ZAZIDI KUNYESHA MIKOA YA KUSINI

DSC07616Siku ya Leo imekuwa ni siku ya pekee kwa sababu ya Mvua kunyesha Kutwa Nzima nakufanya Shughuli za Kijamii kudhorota kabisa kwani wananchi hawakuweza kufanya shughuli zao za kawaida kutokana na Mvua kubwa iliyonyesha maeneo Mengi ya MJi wa Lindi, Picha hii imechukuliwa na Paparazi wetu eneo la Kijiji cha Mingoyo Kilichopo Manispaa ya Lindi.DSC07617

DSC07621Lakini kutokana na halihiyo wapo ambao hawakujali hali hiyo na waliweza kuendelea na shughuli zao kama Mdada huyu alivyonaswa na Mwandishi wetu akielekea Mwalon kuchuu za samaki huku Mvua ikiendelea Kunyesha.DSC07620Watoto wakicheza kwenye Mvua

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post