KUMBE KUVAA JEZI ZA MASTAA KUNAWEZA KUKUTOA…CHEKI ALICHOKIFANYA LUCAS PODOLSKI WA ARSENAL

clip_image001Haijajulikana Podolski alipataje hizi picha ila huyu hapa chini ni Mtanzania alievaa jezi ya staa huyu wa Arsenal ambapo hiki kitendo kimemfanya Podolski kumsifia huyu shabiki kwamba jezi imemtoa freshi na kuitakia kila la kheri Tanzania.clip_image001[6]Hiyo hapo juu ni kwenye instagram ambapo picha hiihii pia aliipeleka kwenye page yake ya twitter kama inavyoonekana hapa chini.clip_image001[8]Asante sana kwa mtu wangu wa nguvu, kwenye twitter @1960Remija amekua ripota wa nguvu kwa kunistua kuhusu hii stori.
Imetoka: mirradayo.com

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post