Mavazi mengine hayafai kuvaliwa katika sehemu za wazi utamaduni huu kwa mwafirka haupo kabisa lakini siku hizi imekuwa fasion kwa Dada zetu kuzezeteka na Tamaduni za Kimagharibi hii haitujengi bali inatubomoa. Je kizazi kijacho si kitatembea Mtupu kabisa?