Unknown Unknown Author
Title: BELLE 9 AWAPA RAHA WAKAZI WA MTWARA KWA SHOW KALI NDANI YA MAKONDE ROYAL NIGHT CLUB
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Jumamosi hii Ndani ya Ukumbi wako wa Burudani Mjini Mtwara Makonde Royal Night Club alidondoka Kijana # Belle9 na kuwapa burudani wakazi ...
belle 1Jumamosi hii Ndani ya Ukumbi wako wa Burudani Mjini Mtwara Makonde Royal Night Club alidondoka Kijana #Belle9 na kuwapa burudani wakazi wa Mji wa Mtwara. Show ambayo ilikuwa chini ya Udhamini wa Safari Radio 89.9 fm Mtwara.belle 7Kama ilivyo ada ya Ukumbi huo watu walifurika kushuhudia Show hiyo ya Mbongo fleva anaye tamba na Single yake ya “WANITAKA” ambayo inasumbua katika chart za radio hapa nchini kwa hivi sasa.
Hizi ni Baadhi ya Picha katika Show Hiyo: belle 2
belle 4
belle 5
belle 10
belle 12
belle 8
belle 3
belle 9
belle 13Picha Juu na Chini: Timu ya Safari Radio Nayo iliwakilisha Vilivyo Ndani ya Makonde Royal ight Club katika Show hiyo ya Belle 9 ambayo ilikuwa imedhaminiwa na Radio ya Safari fm 89.9 fm Mtwarabelle 16

belle 15Mc akihitimisha shughuli Hiyo na kuwaambia yakuwa Show inayofuata anadondoka Mtu mzima Diamond Platnumz Ndani ya Makonde Royal Night Club kisima Cha Burudani hivyo wakae Mkao wa Kula kwa show Kali. Show hiyo itakuwa na Surprise najua unajua nini nazungumzia………. “Madam”? hahahahahaaaa tusubiri siku hiyo…..
Bila kusahau Kila Ijumaa ndani ya Makonde Royal Night Club ni siku ya Wanachuo, Kiingilio Kwa wale wanachuo ni Kitambulisho Chako Tu na kwa wadau wa kawaida ni Buku 5 mlangoni, Kumbuka Vinywaji vitauzwa bei ya kawaida Kabisa siku hiyo. Kazi ni Kwako wewe Mpenda Burudani Njoo Uburudike na Makonde Royal Night Club Mtwara.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top