IANGALIE HAPA PICHA HALISI ALIYEIPOST AGNES MASOGANGE INSTAGRAM JANA NA FOLLOWERS WAKE WAKIDHANI NI YEYE

Agnes Masogange amewasogezea kwa ukaribu ‘kiingiza hela chake’ aka Money Maker followers wake zaidi ya 23,000 wa Instagram… and it’s amazing!!clip_image001[6]That killer as*

Video queen huyo wa Msambinungwa, amepost picha hiyo inayomuonesha akiwa na gauni jeupe huku akiwa ameinama kidogo kwenye eneo la kunawia mikono (ama bafuni vile???) na huku ‘asset’ inayomwekwa mjini ikionekana kwa uzuri.

“lv u yall,” ameandika mrembo huyo na kuviacha vidume vikimeza mate kwa uchu. Bahati mbaya ni kuwa, picha hiyo sio ya kwake bali ni ya msichana wa Marekani aitwaye Crystal Renay.

Hii ndio picha halisiclip_image001

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post