FUNUNU:: D’BANJ ATEMWA “GOOD MUSIC LABEL” YA KANYE WEST, SOMA HAPA

clip_image001D'banj atemwa Good Music Label, hizi ndizo fununu kila sehemu kwenye social network kuhusiana na mwanamuziki kutoka Nigeria kutemwa na label inayoongozwa na mwanamuziki Kanye West kutoka nchini Marekani.

D'banj alisema kuwa hajatemwa wala kuachana na Good music, bado yupo chini yao na yeye na kaye (Kanye) bado wanafanya kazi pamoja na hivi karibuni ataachia video yake ambayo amemshirikisha Kanye West.

Fununu hizi zilisambaa zaidi baada ya siku kama takribani nne nyuma, D'banj kufuta moja ya info zake kwenye ukurasa wake wa Twiiter uliokuwa unasomeka 'GOOD MUSIC LABEL'.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post