ANGALIA MATUKIO MBALIMBALI BUNGE LA KATIBA LEO HII

clip_image002Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.clip_image003Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba ambaye pia ni Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Mahusiano na Uratibu Steven Wassira akiwaeleza jambo Wajumbe wa Bunge hilo leo Mjini Dodoma.clip_image002[6]Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.clip_image002[8]Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.clip_image002[10]Wajumbe wa Bunge Maalum la Katiba Jenista Mhagama (Kushoto) ambaye pia ni Naibu Waziri Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Ufundi na Bi. Christowaja Mtinda wakiwasili katika ukumbi wa bunge kwa ajili ya Semina ya uundwaji wa kanuni za kuongoza Bunge Maalum la Katiba leo Mjini Dodoma.

PICHA NA HASSAN SILAYO-MAELEZO

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post