Huyu jamaa ni noma katika suala la Kuruka Sarakasi mimi naweza sema kipaji chake kimepitiliza kwakweli Kama unabisha we Bofya Hiyovideo Utazame mwenyewe anavyoruka sarakasi za hatari sijawai ona, USIJARIBU HII WAWEZA VUNJA SHINGO.
Tags
WATU MAARUFU