ALLY KIBA AFUNIKA MBAYA KATIKA SHOW YAKE YA Muscat..TAZAMA PICHA

clip_image001Siku ya Valentines Day na msanii kutoka Bongo Ally Kiba alikuwa anashow pande za Muscat na show aliyopiga unaambiwa haijawahi tokea kwa msanii yoyote aliyeenda kufunika kama Ally Kiba jana. Kila wimbo aliokuwa akiuimba watu walikuwa wanashangilia na unaambiwa ilikuwa ni Live Band tu.clip_image001[6]

clip_image001[8]

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post