Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF) Lindi Imekabidhi Maabara mbili kwa Manispaa ya Lindi kama msaada kwa Shule ya Sekondari ya Kining’ene iliyopo nje kidogo ya Mji wa Lindi.Maabara hizo zimekabidhiwa na Mkurugenzi wa Shirika tawi la Lindi kama Ionekanavyo Pichani. Mkurugenzi wa Shirika hilo akitoa nasaha kwa Wanafunzi wa Shule hiyo ya Sekondari ya Kineng’ene mara baada ya Kukabidhi Meza Mbili za Maabara inayotembea na Kuwasisitiza kuwa watunzaji na kujisomea kwa kunguvu zote kwani sasa hawana tatizo la vifaa katika masomo hayo ya sayansi na waalimu wanao wa kutosha.Mwalimu akisoma risala mbele ya Mgeni rasmi katika Hafla fupi ya kupokea Meza mbili za Maabara inayotembea kutoka Shirika la Hifadhi ya Taifa (NSSF) Lindi.Wanafunzi wa Sekondari ya Kineng’ene wakishangilia mara baada ya kuambiwa wameletewa vifaa vya Maabara katika shule yao na Kuwafanya kujisomea masomo ya Sayansi kwa Vitendo, msaada huo kutoka kwa Shirika la Hifadhi ya Jamii (NSSF LINDI)Hii ni moja ya Meza mojawapo kati ya Mbili zilizotolewa kama msaada katika shule hiyo ya sekondari ya Kineng’ene na NSSF
Home
»
HABARI ZA KITAIFA
» SHULE YA SEKONDARY KINENG’ENE YAPOKEA MSAADA WA MAABARA INAYOTEMBEA KUTOKA NSSF
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.