Ni muda mrefu umepita bila kusikia kazi mpya kutoka kwa D-Knob, wala habari zake kutokana na ukimya wake wa muda mrefu, lakini sasa hatimaye rapper huyo wa ‘Elimu ya Mitaani’ amevunja ukimya huo kwa kutoa single mpya aliyomshirikisha Mwasiti.
Single hiyo inayoitwa ‘Nishike Mkono’ imefanywa na Producer Villy Pata uhondo kwa kubofya kitufe cha Play kusikiliza