Superstar na mwimbaji kutoka Barbados Robyn Rihanna Fenty, ameamua kutoa ofa ya kugharamia mazishi ya mmoja wa mashabiki wake wakubwa, mwenye miaka 14 kutoka Brazil aliyeuwawa na baba yake wa kambo.Shabiki huyo anayetumia jina la ‘Thyago Fenty’ kwenye mitandao ya kijamii alichomwa kisu mpaka kufa na baba yake wa kambo aliyekuwa amelewa, ambaye pia aliwauwa mdogo wake na mama yake mzazi katika tukio hilo.Baada ya Rihanna kupata taarifa ya kilichotokea kwa shabiki wake huyo aliwasiliana na familia kwaajili ya kutoa ofa ya kugharamia mazishi yake na kutoka salaam zake za rambirambi kupitia twitter.
‘R.I.P. To one of our fallen soldiers, brutally murdered yesterday in Brazil! 14 year old Thiago, will forever be in our hearts! #Navy
Just learned that Thiago’s mother and sibling were also murder victims in the horrible and tragic turn of events! Dear God! #Navy#RIPThiago
Let’s send our support to his family and friends during this difficult time guys! #RIPThiago’ alitweet Rihanna
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.