BRAND NEW AUDIO: IZZO BUSINESS FT HANSPUFF – TUMMOGHELE
byUnknown-
0
Ile track iliyokuwa inasubiriwa kwa hamu kutoka kwa Mkali wa Bongo fleva kutoka Mbeya Izzo Business inayokwenda kwa jina la tumogele ameiachia leo hii na sisi kama ilivyo ada yetu tunakufanya kuisikiliza kwa Mara ya Kwanza Bofya kitufe cha Ku Play
Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...