MDAU ALEX NA FLORA WAMEREMETA MJINI LINDI

ALEXIlikuwa patashika nguo chanika katika sherehe ya Harusi ya Alex na
Flora iliyofungwa katika kanisa la KKKT Mjini lindi na sherehe zake
kufanyika katika ukumbi wa lindi Beach.ALEX 2Bwana Harusi ni Fundi mkuu wa kampuni ya Uniglobex ya mjini lindi hukuALEX 3Bi Harusi akiwa mwajiriwa wa Jeshi la polisi Mkoani Lindi kitengo cha
Usalama barabaraniALEX 4
Sote kwa pamoja Tunawaombea Dua katika maisha yao Mapya ya NdoaALEX 6kwa hisani ya Abdulaziz Video Rec Ya Mjini Lindi

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post