Mbunge wa Maswa Sylyvester Kasulumbayi wakiwa na Viongozi wa Chadema Wilaya ya Kahama Na Mwenyekiti Juma Protex wakitoka katika mahakama ya Wilaya Baada ya Kukidhi Masharti Ya Hati Ya Dhamana
Njiwa mmoja ambaye amehusishwa na Imani za Kishirikina ameonekana na wafuasi wa CHADEMA maeneo ya Mahakama ya Wilaya ya kahama Kabla ya Kupewa kwa Dhamana Mbunge wa Maswa Ndg: Slyvester Kasulumbayi.
Kama Ilivyo ada kwa Wanachama wa CHADEMA huonyesha Ishara ya Videlo Viwili Juu ikiwa ni alama yao ya Ushindi kwa Wafuasi wao waliojitokeza Mahakamani Hapo.
Walilakiwa na Baadhi ya wafuasi wa chama Hicho Nje ya mahakama hiyo Kwa furaha baada ya Kupata Dhamana
Shamra Shamra ya wafuasi hao wa CHADEMA katika Kusherehekea Dhamana ya Mbunge wao wa Maswa ndg Sylvester Kasulumbayi.wakiwa na mapikipiki na Magari wengine kwa Miguu ilihari tu kusherehekea kuwa huru kwa Mbunge wao.
Tags
HABARI ZA KITAIFA