Unknown Unknown Author
Title: ANGALIA MAJINA WALIOCHAGULIWA KWA AJILI YA USAILI WA MAISHA PLUS/MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Baada ya zoezi la kupitia fomu za vijana na wakulima wanawake kutoka nchi nzima, wafuatao wamechaguliwa kwa ajili ya usaili wa Maisha Plus/ ...

Baada ya zoezi la kupitia fomu za vijana na wakulima wanawake kutoka nchi nzima, wafuatao wamechaguliwa kwa ajili ya usaili wa Maisha Plus/ Mama shujaa wa chakula 2014.clip_image001

Vijana 40 waliochaguliwa watagawanywa katika makundi mawili ya vijana 20. Kundi moja litapelekwa katika kijiji cha awali Iringa na kundi jingine katika kijiji cha awali Zanzibar. Huko watatakiwa kuishi na kushiriki katika shughuli mbalimbali za maendeleo katika vijiji hivyo. Mwisho wanakijiji watatakiwa kuwapigia kura ili kupata washiriki 9 kutoka kila kijiji hivyo kuwa na jumla ya vijana 18. Hawa wataungana na wenzao 12 kutoka nchi za Burundi, Kenya, Rwanda na Uganda.

Mama shujaa wa chakula 30 watafanyiwa uhakiki 'verification' wa taarifa zilizojazwa kwenye fomu, zoezi hilo litaambatana na upigaji picha za mnato pamoja na video na kisha kupigiwa kura kupitia mtandao pamoja na SMS (meseji) ili kupata washiriki 20 ambao wataenda katika kijiji cha Maisha Plus kuungana na vijana.

MAISHA PLUS 2014

NO. JINA KAMILI MKOA NO. JINA KAMILI MKOA
1 ADOLPH ANACLETH MWANZA 21. JOYCE JACOB MUSHY ARUSHA
2 AGATHA KALESU RUKWA 22 MARRIAM MOSSES SHINYANGA
3 ALLY THABIT MWANZA 23 MARY NICHOLAUS KAVISHE MANYARA
4 ANASTAZIA JOHN MARA 24 MBONIMPAYE N. NKORONKO RUKWA
5 ASUMTA MWINGIRA DSM 25 MOHAMED SELEMANI LIPEMBA LINDI
6 AUSI ABDUL MOYO RUVUMA 26 MOUREENE K. DAUD KAGERA
7 BAKARI KHALID SHINYANGA 27 NELSON DANIEL DSM
8 BONIPHACE MENG’ANYI NYANKENA DSM 28. NGOMA ABDALLAH KIGOMA
9 CHARLES DANIEL SIMIYU 29 OSAMA NORMAN MBEYA
10 DOUGLAS SAIDI MSALU ARUSHA 30. OTILIA SELESTIN SIMIME MBEYA
11 ELLYMATHEW KIKA NJOMBE 31. SAID SALUM KATAVI
12 ELIZABETH JOACHIM TABORA 32 SALUM SAID JOHARI MTWARA
13 FAHAMNI KAITE MWADINI ZANZIBAR 33 SCHOLASTICA DEUSIDEDITH GEITA
14 FARIDA ALLY PWANI 34 SEIF MOHAMED SALUM TABORA
15 FADHILI ISANGA KILIMANJARO 35 SHABAAN MASOUD SHAABAN ZANZIBAR
16 FLORA JOHN SINGIDA 36 SHIDA KENETH MGANGA DODOMA
17 FREDERICK JOSEPH NDAHANI SINGIDA 37 SHISHIRA G. MNZAVA MOROGORO
18 HYASINTA T. HOKORORO MTWARA 38 THOMAS P. MGAZWA DODOMA
19 JANE JULIO KALINGA IRINGA 39 YASSINI HAMISI SUDDI DSM
20 JOHN SYLVESTER MALIMA GEITA 40 ZAHARANI YUSUPH HOSSEN TANGA

MAMA SHUJAA WA CHAKULA 2014

NO. JINA KAMILI MKOA
1 AMINA KUPELA CHIKAPONYA MTWARA
2 ANNA JAMES YUDA MOROGORO
3 ANNA MWANILYELA CHRISANT KATAVI
4 BAHATI MURINGA MWANZA
5 CLARA ANCILLA IBIHYA PWANI
6 CRISTINA KURWA MALALE ZANZIBAR
7 DINA RUSOTI MARA
8 DIONISIA RASHIDI KARATA TANGA
9 DORICUS MSAFIRI SHUMBI SINGIDA
10 EDINA JAMAS MBEYA
11 ELINURU MOSES PALLANGYO ARUSHA
12 ELIZABETH MATAYO GEITA
13 ELIZABETH SIMON MOROGORO
14 EZELEDA CHEDEGO DODOMA
15 FREDINA M SAID SHINYANGA
16 GLADNESS EBENEZERY MMARY KILIMANJARO
17 GRACE G.D.MAHUMBUKA KAGERA
18 JANETH NIIMA MANYARA
19 KURUTHUMU RAMADHANI MWENGELE TANGA
20 LEAH DOMINICK MNYAMBUGWE DODOMA
21 MARY ATHANAZ NDASI RUKWA
22 MARY JOHN MWANGA SINGIDA
23 MARY KESSY DSM
24 NEEMA ROBERT SIMUYU
25 NYACHUM HAJI AME ZANZIBAR
26 PENDO MUSSA MOROGORO
27 SANTINA MAPILE NJOMBE
28 THEREZA KITINGA MWANZA
29 ZAITUNI SHEDRACK KALENBI KIGOMA
30 ZAMDA DANIELY MGONGANGA IRINGA
Tunatoa pongezi kwa wote waliochaguliwa kwa ajili ya usaili. Asanteni na pole kwa wengine wote walioshiriki lakini hawakubahatika. Tunasikitika hatukuweza kuwachagua wote. Tafadhali jaribuni msimu ujao.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top