DIDA WA TIMES NAYE ANUNUA MKOKO (GARI) WA NGUVU, UCHEKI HAPA

clip_image001[10]Sasa Imekuwa Fashion kwa wasanii na watu maarufu Nchini Tanzania Kuonyesha Vitu vyao vya thamani katika Mitandao ya Kijamii hususani Magari, hii inatokana na nini hasa je Ni kupeana Challenge Baina yao au kuoneshana umwamba wa nani ni zaidi ya Mwenzake? hilo ni swali ambalo kila siku najiuliza lakini Jibu lake sijapata Bado. clip_image001Tumezoea kuona hali hii kwa Waigizaji na Wasanii wa Filam kufanya Haya mambo lakini Sasa inazidi kukua na Mara hii ni Mtangazaji wa Radio Dida anayetangaza kituo kimoja cha Radio nchini, naye kavunja ukimya na Kutupia Bonge la Mkoko (Gari) wa Nguvu mtandaoni na Kuutangazia umma kuwa sasa yupo humo, Kama Picha zionekanavyo.clip_image001[6]Lakini cha Kushangaza Magali hayo yanapo pigwa Picha Hicho huwa Hayawekwi wazi Plate Number za Magari hayo Hii inanitia Mashaka juu ya Umiliki Halali wa Magari hayo Kwao Kwani wanaogopa Kushushuliwa Pindi mwenye gari akiona gari lake limetangazwa kuwa nila Msanii au Mtu mwingine.clip_image001[8]Tubadilike wa Tanzania Tusipende Kuigiza Hadi katika Maisha ya Kawaida hiyo si njia sahihi kabisa,

Picha Kwa hisani ya DIDAMITIKISIKO BLOG

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post