NISHER “SURPRISE ZINGINE SI NZURI KABISA UNAWEZA KUUA BILA KUKUSUDIA”, HEBU CHEKI HII.

clip_image001Mama Hemedy PHD na Salma Jabu Nisha baada ya tukio.

Nisha amfanyia suprise mama yake Hemedi PHD katika siku ya kuzaliwa mama yake Hemedi PHD ilikuwa kinondoni barabarani akamwambia hemedi kapata ajali alivyotoka nje alikuwa kapagawa mara waka mwimbia happy birth day toyuuuuuuuuu...!!!

Ha ha haaa!!! Mama Hemedy hoi tena kibaya zaidi siku hio ilikuwa ndio siku ya kumaliziwa Shooting ya Filamu ya GUMZO ambayo kwa sasa ipo mbioni kutoka,

Yani mama kutoka tu nje akaona msongamano wa magari watu kibao akaamini kuwa mwanae kapata ajali kweli kumbe ilikuwa ni katika kumalizia kipande cha Filamu ambapo Hemedi PHD anatakiwa aonekane katika ajali ya kugongwa na gari.. Du! mama almanusura kuzimia.

Mama yake hemedi alifarijika sana ilikuwa kipindi cha shooting ya gumzo

CREDIT : MASAI NYOTAMBOFU

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post