*******
Barabara ya Ndanda kwenda Masasi eneo la Kijiji cha Mkalapa, limekuwa ni majanga matupu kama inavyoonekana katika picha hapo chini, kwani barabara hiyo imeharibika vibara kutokana na mvua zinazoendelea kunyesha matika maeneo mbali mbali hapa nchini.
Hivyo wakala wa Barabara Mkoa wa Mtwara (TANROADS), wanapaswa kulishughulikia swala hili haraka iwezekanavyo ili kuwaepusha watumiaji wa barabara hiyo kuondokana na hadha hii inayowaathiri wasafiri waendao Newala, Masasi, Nachingwea, Nanyumbu na Tunduru.
Tags
HABARI ZA KITAIFA