Kwajina anaitwa Mohamedi Selemani Lipemba kama jina la Passport yake ya kusafiria lakini Jina Maarufu ni Kibanga Mkoloni (Nafsi 16). Ni mshiriki wa maisha Plus Kutoka Lindi kwa mwaka 2014. Mzaliwa wa Lindi.Ameweza kupita katika Mchujo wa watu zaidi 4000 na kufanikiwa kuwepo katika wale 40 bora watakao kuwepo katika usaili wa kwanza wa Maisha Plus 2014.Mshiriki wa Maisha Plus 2014 Kutoka Lindi akiwa na Meneja wake Ndugu Abdallah Mohamedi (Dullah Kibajaji)
Anatarajia kuondoka kuelekea katika Usaili huo wa Mwisho hivyo anaomba Ushauri Mbalimbali kutoka Kwenu ilikumjenga kuweza kushiriki vizuri na kuweza kuibuka mshindi katika Shindano hilo linalotarajia kuanza hivi karibuni.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.