Yalipita ni zile siku ambazo ili mwanamke aweze kupata mwanaume bora ilibidi awe mwanamke bora kweli kweli.Siku hizi wanaume wengi weusi hupenda kuwa na wanawake ambao kwa namna moja ama nyingine mwanzoni walionekana wameshindikana nao huwabadilisha kuwa mademu zao wa ukweli. Kanye West kwa Amber ni mfano tosha kuwa mmoja kati ya wanaume waliowapenda wasichana walioshindikana.
Wiz Kalifa alizama kwenye mapenzi ya Amber Rose na kuweza kumbadilisha kuwa mwanamke anayeheshimika.
Rappa Tyga alizama kwenye mapenzi na kahaba maarufu Black Chyna mara baada ya kumuona akiwa anafanya kazi yake kwenye klabu moja ya usiku. Kwa sasa wamechumbiana na wana mtoto pamoja, kama ilivyo kwa Amber ambaye amebadilika na kuwa mwanamke anayejiheshimu tofauti na mwanzoni, kama unakumbuka aliwahi kuwa na mahusiano na Kim na Kanye.
Hii ni kuthibitisha kwamba hata wale wasichana ambao tunaona kwamba wameshindikana kabisa nao wanaweza kupenda kweli.
Ishu kuu hapa ni juu ya hawa marapa au wanaume kuzama kwenye mapenzi na hawa wanawake, kuna mifano mingi, na nimekuwa nikijiuliza nyota au maceleb wa kibongo kama wanaweza kufunguka na kuwa wazi juu ya kutoka na makahaba. Binafsi na labda wengi wetu tunajua kwamba huwa wanakutana nao japo wengi wao hufanya kwa siri.
Je mwanaume wa Kitanzania anaweza kufunguka ya kuwa anatoka na kahaba mpaka ifike hatua ya kumuoa?Inawezekana kwa sasa mahusiano yanayojilikana sana yanayomuhisisha kahaba na mwanamuziki ni kati ya Wiz na Amber, labda hii inatokana na ukweli kuwa wanaendana. Ila ikumbukwe kwamba mwanzoni Wiz alikuwa anatoka na Natalie Nunn ambaye alionekana kwenye video chafu ya Olu Mantain na ndipo alipokutana na Amber Rose na ikawa hivyo.
Kanye alianza, alionyesha Ulimwengu kwamba mtu yeyote anweza kuwa na mahusiano ya kawaida na ndipo mahusiano yake na Amber Rose yalipoanza.
Siku hizi Black Chyna anavaa vitu vya thamani vinavyo tengeneza rocks the most expensive designer items courtesy her boo Tyga
Achana na Rihanna, mnamo mwaka 2009 pale Drake alipokuwa anatoka, alikutana na kahaba aitwaye Maliah Michel na kuzama kwenye dimbi la mapenzi naye mpaka ilifikia hatua alindika wimbo kumzungumzia yeyea. Licha ya mapenzi yake kwa Riri, bado alikuwa anaenda kahaba huyo na inasemekena kwamba nyimbo zake nyingi zinazozungumzia kuumizwa kimapenzi zimekuwa zikimlenga msichana huyo..Achana na Rihanna, Drake naye alikuwa natoka na aliyekuwa kahaba aitwaye Maliah Michel.
Eve na Lady Gaga walianza wakiwa kama makahaba