VIDEO:: UMESHAIONA MAJANGA RMX? HEBU ICHEKI HAPA

clip_image003[6]Huyu ni fans Mkubwa wa Msanii snura ambaye ametokea kuupenda sana Mwimbo wa msanii huyo uliomuweka pazuri msanii snura Wimbo wa Majanga Hadi kupelekea Fans Huyu kuifanyia RMX nyimbo hiyo….

Fans huyu anaishi Kijiji cha Mnali katika Manispaa ya Lindi na anajishughulisha na Kilimo katika kuinua Uchumi wake. Kwa jina halisi anaitwa Mussa Selemani Mtengo lakini Jina la Kiusanii anajiita MEJA

Pata Uhondo wa Majanga RMX hapa:

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post