Mdau Pius Micky ametuletea taswira hii kutoka huko Sumbawanga Mkoani Rukwa, inayoonyesha Lori likiwa limepakia abiria pamoja na mizigo ya watu wanaodhaniwa kuwa ni wafanyabiashara wa Minadani. Taswira hii imenaswa jana katika barabara kuu itokayo Sumbawanga mpaka Tunduma Mkoani Mbeya.
JE BARA BARA HII HAINA ASKARI WA BARARANI? AU NDIO TUNARUDI ZAMA ZILEEEEE……!!!! SERIKALI IKO WAPI?
MAAFA YAKITOKEA NANI WA KULAUMIWA?
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.