Ujenzi wa daraja la Kigamboni hautokamilika kama ilivyotarajiwa Januari 2015 na badala yake utakamilika Julai 2015 kufuatia mikondo ya maji kukutwa chini ya miamba iliyotarajiwa kusimamishwa nguzo za daraja hilo na kulazimisha mkandarasi kuongeza urefu wa nguzo kutoka mita 64 hadi 84.
Hizi ni Baadhi ya picha za ujenzi wa daraja la Kigamboni unaoendelea hivi sasa:
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.