Diamond Platnumz akiongea ndani ya studio za Magic Fm leo hii na kumaliza tofauti zilizokuwepo na Kituo hicho cha radio
Msanii Diamond Platnumz akiwa na Watangazaji wa Kampuni ya AFRICA MEDIA GROUP katika studio za Magic FM, Kushoto ni Mussa Kipanya kulia ni Salma Msangi
Ni takribani mwaka mmoja na kitu tangu nyimbo za Msanii Diamond Platinums Kuacha Kuchezwa na vituo vya Magic Fm Na Channel Ten Tv vyote vilivyopo chini ya kampuni ya AFRICA MEDIA GROUP, Hatimae Msanii Diamond Ameweka Mambo sawa na vituo hivyo na sasa tayari nyimbo zake zimeanza kuskika kupitia Radio Magi Fm Ya Dar Es Salaam Inayopatikani mikoa mingi mingine Ya Tanzania pia kupitia Satellite Nchi nzima.
Kutaka Kujua zaidi endelea kuskiliza Magic Fm Na Kutazama Channel Ten Ambayo pia sasa inapatikana kupitia DSTV channel 292 kusikia mahojiano na diamond hivi karibuni katika vipindi tofauto tofauti.
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.