UDHALILISHAJI WA MWAFRIKA UTAISHA LINI KATIKA HII DUNIA?!!! HEBU CHEKI PICHA HII

clip_image001Hii ni dhahiri kabisa kuwa bado ubaguzi wa rangi uko ndani ya damu za watu weupe dhidi ya watu wenye asili ya Kiafrika, Tumeshaona matukio mengi ya ubaguzi wa rangi katika nyanja mbalimbali,

Hii ni zaidi ya udhalilishaji kwa kweli Picha hii imewekwa mtandaoni na Gazeti  la  @Buro247 ambayo inamuonyesha Dasha Zhukova akiwa amekalia kiti cha Msichana wa Kiafrika katika siku ya Martin Luther King.

Je Hii ni sawa sawa?

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post