Baada ya kuwakutanisha Naseeb Abdul aka Diamond Platinumz na Omary Nyembo aka Ommy Dimpoz kwenye wimbo wake uliofanya vizuri ‘Utamu’, Prince Dully Sykes amempa shavu lingine Diamond kwenye wimbo wake.
Dully Sykes alipost picha ya Diamond kwenye Instagram wiki iliyopita ikimuonesha akiwa na Diamond studio wakifanya kazi, na kuandika, "mzee#kasmpaider#na#chibu@STUDIO...KAA#TAYARI#SOON#UTAKULA."
SOURCE: TIMES FM
Tags
HABARI ZA WASANII