Producer wa UPRISE MUSIC DUPY amegongwa na gari baada ya gari kugonga studio na kuingia CHUMBANI kwa DUPY akiwa amelala!
Pia amepata majeraha kidogo, tunashukuru mungu ni mzima ila amepata maumivu ya mkono na kichwa kidogo ila all in all yuko salama.
HIZI NI BAADHI YA PICHA ZIKIONYESHA HARI ILIVYO ENEO LA TUKIO
Tags
WATU MAARUFU