Unknown Unknown Author
Title: SIMBA YASHINDA TAIFA, YAICHAPA RHINO RANGERS BAO 1 - 0
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Simba leo imeanza vyema Raundi ya Pili ya Ligi Kuu Vodacom kwa kuichapa Rhino Rangers ya Tabora Bao 1-0 kwenye Mechi iliyochezwa Uwanja wa T...

VPL1Simba leo imeanza vyema Raundi ya Pili ya Ligi Kuu Vodacom kwa kuichapa Rhino Rangers ya Tabora Bao 1-0 kwenye Mechi iliyochezwa Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Bao la ushindi la Simba lilifungwa Ramadhani Yahya Singano ‘Messi’ katika Dakika ya 14 lakini Mchezaji huyo anaeng’ara hivi sasa aliikosesha Simba ushindi wa uhakika alipokosa kufunga Penati katika Dakika ya 70.clip_image001[1]Penati hiyo ilitolewa baada Ladislaus Mbogo kuushika Mpira ndani ya Boksi.

Ushindi huu umeifanya Simba wajizatiti Nafasi ya 4 wakiwa Pointi 3 nyuma ya Mbeya City na Azam FC, zenye Pointi 30 kila mmoja, lakini Azam FC wako juu kwa ubora wa Magoli huku Yanga wakiwa kileleni wakiwa na Pointi 31.

Ligi itaendelea tena Jumatano kwa Mechi 4 na Mechi ya mvuto ni ile ya Mkwakwani, Tanga kati ya Coastal Union na Mabingwa Watetezi, Yanga.

RATIBA:

Jumatano Januari 29

Kagera Sugar v Mtibwa Sugar [Kaitaba, Bukoba]

Azam FC v Rhino Rangers [Azam Complex, Dar es Salaam]

Ruvu Shooting v Mbeya City [Mabatini, Mlandizi]

Coastal Union v Yanga [Mkwakwani, Tanga]

Jumamosi Februari 1

Ashanti United v Mgambo JKT [Azam Complex, Dar es Salaam]

Simba v JKT Oljoro  [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

Jumapili Februari 2

Yanga v Mbeya City [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

MSIMAMO:

NO

TEAMS

P

W

D

L

GF

GA

GD

PTS

1

Young Africans

14

9

4

1

33

12

21

31

2

Azam FC

14

8

6

0

24

10

14

30

3

Mbeya City

14

8

6

0

21

11

10

30

4

Simba SC

14

7

6

1

27

13

14

27

5

Kagera Sugar

14

5

5

4

15

11

4

20

6

Mtibwa Sugar

14

5

5

4

19

18

1

20

7

JKT Ruvu

14

6

0

8

13

18

-5

18

8

Coastal Union

14

3

8

3

11

8

3

17

9

Ruvu Shootings

13

4

5

4

15

15

0

17

10

Rhino Rangers

14

2

5

7

9

17

-8

11

11

JKT Oljoro

14

2

5

7

10

11

-10

11

12

Ashanti United

14

2

4

8

13

26

-13

10

13

Tanzania Prisons

13

1

6

6

6

16

-10

9

14

Mgambo JKT

14

1

3

10

5

26

-21

6

CREDIT TO SOKA IN BONGO

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top