LADY JAY DEE KUSAKA VIPAJI MWEZI FEBRUARY

Judith Wambura aka Lady Jay Dee, Anaconda amepanga kutafuta vipaji vya kuimba nchini Tanzania kuanzia February mwaka huu kwa lengo la kuvipa nafasi vipaji vipya kukua.clip_image002Jide ameweka wazi mpango huo wakati akijibu maswali ya mashabiki wake kupitia ukurasa wa Facebook wa Coke Studio Africa.

Mwimbaji huyo wa Yahaya alifunguka wakati akijibu swali la Arnold Mshana aliyetaka kufahamu kwa nini haanzishi kipindi cha kukuza vipaji.

Jide alisema atavisaka vipaji hivyo kupitia kipindi chake ‘Diary ya Lady Jay Dee’.

It’s in my plan to come up with one, Diary of Lady Jay Dee. This year will have a talent search for Tanzania artists. I will give them the chance to grow. It will be from February.” Alijibu Lady Jay Dee.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post