Mabingwa wa England, Manchester United, leo wakiwa kwao Old Trafford, wameonja tena kipigo chao cha 4 katika Mechi 6 zilizopita baada ya kutwangwa Bao 2-1 na Swansea City. Timu ambayo katika Historia yao haijawahi kushinda Old Trafford.
Swansea walitangulia kufunga bao kupitia Routledge na Chicharito kusawazisha lakini balaa la kupewa Kadi Nyekundu kwa Fabio zikiwa zimebaki Dakika 10 ziliwaathiri baada Bony kufunga Bao la pili katika Dakika ya 90.
Hata hivyo, katika Mechi nzima, Refa Mike Dean, alionyesha wazi kutowatendea haki Man United hasa maamuzi yake ya Rafu na Kadi.
VIKOSI: Man United: Lindegaard, Smalling, Ferdinand, Evans, Buttner, Valencia, Fletcher, Cleverley, Kagawa, Welbeck, Hernandez
Akiba: De Gea, Anderson, Giggs, Carrick, Fabio Da Silva, Zaha, Januzaj.
Swansea: Tremmel; Tiendalli, Amat, Chico, Taylor; Britton, De Guzman; Pozuelo, Shelvey, Routledge; Bony
Akiba: Williams, Cornell, Canas, Rangel, Vazquez, Ben Davies, Donnelly.
Refa: Mike Dean
MATOKEO: FA CUP: RAUNDI ya TATU
Jumapili Januari 5
Nottingham Forest 5 West Ham 0
Sunderland 3 Carlisle 1
Derby 0 Chelsea 2
Liverpool 2 Oldham 0
Port Vale 2 Plymouth 2
Manchester United 1 Swansea 2
THE FA CUP WITH BUDWEISER
MSIMU 2013-14 TAREHE ZA RAUNDI:
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.