NEW AUDIO MUSIC || JIKE SHUPA BY NUH MZIWANDA || DOWNLOAD/LISTEN

Nuh Mziwanda - Jike Shupa
Baada ya kufanya vizuri na hit single kadhaa ikiwemo ‘Bilima’ katika game ya muziki wa Bongofleva Nuh Mziwanda leo April 26 2016 ameachia brand new track aliyomshirikisha Alikiba, Mziwanda ameachia audio ya ‘Jike Shupa’ na unaweza kuidownload hapa.
Previous Post Next Post