EXCLUSIVE AUDIO KUTOKA KWA DIAMOND PLATNUMZ FT CHEGE, ISIKILIZE HAPA KWA MARA YA KWANZA

clip_image001Zitumie hizi dakika kadhaa kumsikiliza alichokifanya Diamond kwenye hii beat ya Chegge Chigunda ya Uswazi Take away,uongozi wake umetubariki kuwapa watanzania hii kama Exclusive kwenu kuisikiliza hii nyimbo afu tupe  maoni yako hapo chini kwa kucoment.

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post