Diamond Platnumz Akiwa na Wasaidizi wake leo jioni katika Viwanja vya Ndege Vya Mwalimu Julius International Airpot akielekea Nchini Kenya Kufanya Show ya Kampuni ya Simu ya Nchini Humo ijulikanayo kwajina la SAFARI COM
Msanii Diamond na Crew yake iamesafiri na Ndege ya Shirika la ndenge la Kenya, Kenya Air Ways
Wakiwasiri Uwanja wa Ndege Nchini kenya
Show hiyo ya leo Nairobi ni private na Hafla hiyo itafanyika ndani ya ukumbi wa Safari Carnivore Nairobi.Timu ya Wasafi wakiwa ndani ya Kenya tayari kwa show leo usiku
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.