Hakuna mtu anaeweza kuelewa akina dada zetu nini wanataka katika hivi vivazi vyao vya aibu vinavyozidi kushamiri katika ulimwengu huu. swali la kujiuliza je dada zetu ndio wanatupa Maadili na heshima yao ilimradi tu kuonyesha jinsi wanavyo vutia?
It seems another way of getting attention in our dear country nowadays is dressing 99% unclad so that all eyes can be on you. Absolutely disgusting!
Tags
Fasion