Robo Fainali za Kombe la Mfalme wa Spain, Copa del Rey, zinaanza Usiku huu kwa Mechi moja huko Estadi Cornella-El Prat Jijini Barcelona wakati Wenyeji Espanyol watakapoikaribisha Real Madrid kwenye Mechi ya Kwanza.
Mechi nyingine za Robo Fainali zitachezwa kesho Jumatano Usiku kati ya Real Sociedad na Real Racing Santander na nyingine ni ile kati ya Levante na FC Barcelona ambazo Juzi zilikutana kwenye La Liga na kutoka Sare ya 1-1.
Alhamisi, Mabingwa Watetezi wa Copa del Rey, Atletico Madrid, watakuwa Nyumbani kucheza na Athletic de Bilbao.
Timu hizi zitarudiana Wiki ijayo na Washindi kusonga Nusu Fainali ambako tayari wanajua nani wanaweza kukutana nae kwani Ratiba yake imeshaanikwa.
RATIBA: ROBO FAINA COPA del REYLI
[Saa za Bongo]
Mechi za Kwanza :: Jumanne Januari 21
23:00 RCD Espanyol v Real Madrid
Jumatano Januari 22
22:00 Real Sociedad v Real Racing Santander
24:00 Levante v FC Barcelona
Alhamisi Januari 23
23:00 Atlético de Madrid v Athletic de Bilbao
Marudiano:: Jumanne Januari 28
23:00 Real Madrid v RCD Espanyol
Jumatano Januari 29
22:00 Athletic de Bilbao v Atlético de Madrid
24:00 FC Barcelona v Levante
Alhamisi Januari 30
23:00 Real Racing Santander v Real Sociedad
NUSU FAINALI
Mechi ya Kwanza Feb 5-6, Marudiano Feb 12-13
Real Sociedad/Real Racing Santander v Levante/FC Barcelona
RCD Espanyol/Real Madrid v Atlético de Madrid/Athletic de Bilbao
FAINALI
Aprili 19
CREDIT TO SOKA IN BONGO
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.