MLIPUKO WAUA WANNE LEBANON

clip_image001Magari yakiteketea kwa moto eneo la Haret Hreik kusini mwa Beirut, Lebanon!

Mlipuko wa bomu la kujitoa mhanga katika gari umeua watu wanne na kujeruhi wengine 27 eneo la Haret Hreik kusini mwa Beirut, Lebanon!

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post