BREAKING NEWS:: BASI LA SAADIA LAPATA AJALI, MMOJA AFARIKI DUNIA

clip_image001

Breaking news Basi la Saadia lilitoka dar mchana leo lagongana na gari dogo ktk kijiji cha Mwanambaya na dereva wa gari dogo afariki papo hapo.

Hakuna majeruhi katika Basi la Saadia..

Post a Comment

Hii ni Blog kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Nchi yetu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...

Previous Post Next Post