Drama zinazidi kuendelea, leo imeibuka akaunt ya instagram inayojiita teamchaggabarbie na imemtolea maneno machafu na ya nguoni mtangazaji wa kituo cha Clouds Fm Loveness Malinzi almaarufu ka a Diva. Hebu soma hayo maneno hapo chini Na alichokijibu yeye.
Tags
WATU MAARUFU