Daraja la Dumila lililopo mkoani Morogoro ambalo ni barabara ya Dodoma – Morogoro limekatika na magari hayapiti baada ya mvua kubwa kunyesha usiku wa kuamkia leo. Kama ioneekanavyo katika PichaBaadhi ya magari yatokayo upande wa Dodoma na Morogoro yaliamua kugeuza na kurudi yalipotokea maana hakuna njia nyingine zaidi ya hiyo.Kutokana na mvua hiyo madarasa katika Shule ya Msingi Magole, Dumila, Morogoro nayo yamefunikwa na maji na wanafunzi kuamua kujiokoa kwa kupita madirishani.Taarifa iliyopo ni kwamba Serikali imeamua kuifunga hiyo barabara kwa muda.
About Author
JE, UNA HABARI, PICHA, TANGAZO, MAKALA NA USHAURI? USISITE KUWASILIANA NASI SIMU / WHATSAPP NAMBA 0625535420.
Advertisement
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment Blogger Facebook
Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii
Note: Only a member of this blog may post a comment.