Mbunifu wa mavazi Martin Kadinda akiwa pamoja na Jack patrick wakila bata katika moja ya hotel za kifahari, imeonyesha kuwa Jack na Martin kuwa wapo karibu sana na furaha baada ya mwana dada huyo kupitia majanga kibao....
Hivyo sio siri tena uwepo wa furaha kati ya jack na martin ...
Hizi ni Baadhi ya Pic walizo piga wakati wakiwa katika Hoteli hiyo
Tags
WATU MAARUFU