Unknown Unknown Author
Title: WASTARA AFUNGUKA JUU YA MPENZI WAKE MPYA SOMA HAPA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mba...

clip_image001Wastara amefunguka na kuliambia Gazeti moja la Udaku Maarufu hapa Bongo Kuwa Amechoka kusikingiziwa uongo wa kuhusishwa na wanaume mbali mbali ikiwemo huyo Mr Bond ambae Karibia Week mbili watu wanasema sema kuwa ndio mrithi wa Sajuki..

"Nachukia Sana watu wakifatilia maisha yangu Binafsi Badala ya kazi zangu nitamuanika mpenzi wangu soon kuliko kueneza habari za uongo zinazohusu mapenzi

..Iwe ni Bond wanaye Msema ama mwingine"

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top