Unknown Unknown Author
Title: RECHO AJIBU TUHUMA ZA KUSEMA “NATAFUTA MWANAUME WA KUNIRIDHISHA” SOMA HAPA ALICHOKISEMA
Author: Unknown
Rating 5 of 5 Des:
Recho akicheza na shabiki wake katika moja wa show zake nchini Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nch...

clip_image002Recho akicheza na shabiki wake katika moja wa show zake nchini

Msanii wa THT, Rachel Haule ameijibu taarifa iliyoandikwa na mitandao ya nchini Kenya kuwa aliwaaibisha wasanii wenzie wa Kigoma All-stars waliokuwa kwenye show mjini Mombasa, Kenya wiki iliyopita kwa kuongea mbele ya waandishi wa habari kwamba anatafuta mwanaume wa kumridhisha kimapenzi.

Akizungumza na Bongo5 leo, Recho amesema ni kawaida yake kusema hivyo katika show nyingi ambazo amekuwa akizifanya kama njia ya kucheza na akili za mashabiki wake.

“Binafsi yangu nipo na mchumba, anajuaga kama naongea hivyo kwa Hiyo sio kitu cha ajabu ambacho kikawafanya watu wanifikirie vibaya. Kwani kuna ubaya gani nikasema natafuta mtu wakuniridhisha, naona hakuna ubaya, sijaongea lugha mbaya ya matusi ni kitu cha kawaida kwa fans wangu,” alisema Recho.

Habari hiyo iliandikwa kwenye mtandao wa Standard Digital News wa Kenya ikiwa na kichwa cha habari kisemacho; Tanzanian superstar begs for ‘sexual satisfaction’

Tanzanian musician shocked journalists when she screamed to the cameras that she needed to be ‘sexually satisfied’. Recho, who was talking to reporters after the Kigoma All-stars concert in Mombasa, said that she wanted a man to ‘end the night with.’

Disappointed that her wish did not come true, the musician, famous for her song Upepo, told reporters and anyone who cared to listen that they ‘couldn’t handle a woman’.

Recho was not the only disappointed musician that night as her Tanzanian counterpart Maunda was spotted backstage crying after being booed offstage by the crowd.

About Author

Advertisement

Post a Comment Blogger

Toa Maoni Yako Kuhusu habari Hii

Note: Only a member of this blog may post a comment.

 
Top